Akiwa anaongoza kwa tofauti ya alama (6) kileleni mwa msimamo, Yanga atacheza mechi (1) pekee katika mechi (10) zijazo za ligi kuu nje ya dimba la Mkapa
Azam fc - Mkapa
Mtibwa sugar - Manungu
Ihefu - Mkapa stadium
Ruvu shooting - Mkapa
Namungo - Mkapa
Simba sc - Mkapa
KMC - Mkapa
Geita gold - Mkapa
Dodoma jiji - Mkapa
Kagera sugar - Mkapa
Mechi (13) zimesalia.
Walipanga kuichosha Yanga na mechi za Mikoani, sasa tumeshazimaliza imekula kwao, tupo zetu kwa mkapaaaaa round ya pili tunagonga popcorn

Mechi (13) zimesalia.
Walipanga kuichosha Yanga na mechi za Mikoani, sasa tumeshazimaliza imekula kwao, tupo zetu kwa mkapaaaaa round ya pili tunagonga popcorn