Real Madrid ni klabu ya miujiza kamwe usiidharau linapokuja suala la ligi ya mabingwa usiwahi kudharau

Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40
5
Real madrid akishasikia kale ka mlio cha UEFA umekwishaa😂

This Real Madrid hawajui kufa aiseee , they are ruthless freak of nature linapokuja swala la knockout stage UEFA wanakuwa watu wengine kabisa walizaliwa kwa ajili ya UEFA

You just cant kill them , huwa hawana kabisa button ya kupaniki They just cruise through games, Nature ya team inaenda sawa sawa na nature ya Coach Always Giving up is not an option

Nilikua najiuliza mbona wanashambuliwa sana lakini hawapanic kumbe ooh ndo kwanza unawapa mokari , Madrid hata ikiwa mbovu ila kwenye UEFA anageuka mwa kichaa

Hakuna team yoyote ulaya haiogopi kukutana na Madrid aise hawa jamaa hata ukiwafunga hawapanikigi kabisa tena ndo uwaga wanachekelea tuu dadeq

Hawa ni kama wapewe tu kombe lao mapema wakiwa kwenye UCL hawana masikhara kabisa Namuonea huruma Klopp second leg pale Bernabeu kinachomkuta kwa Mara ya pili😂

Real Madrid walikuwa wamefia kwa Camavinga na wakafufukia kwa Camavinga. Yaani Liverpool mwanzo walinufaika na uwepo wa Camavinga katika kiungo cha chini kabla ya Ancelotti kumshusha Luka Modric na mechi ikabadilika ghafla na Real Madrid wakarudi mchezoni

Kama Real Madrid angependelea vile na Camavinga basi kipindi cha kwanza ungekuwa msiba kwao maana Camavinga alishindwa kabisa kuhimili presha ya Liverpool mwanzo.

Combination play Benzema ni masta asee kwenye washambuliaji duniani labda Super Kane ndo wanakaa daraja moja🔥🙌 wanapaswa kujifunza kutoka kwake!

Hakuna come back pale Bernabeu tena migoli zenyewe tano hahahahahahahah

Ni kawaida sasa kwa Laliga kujipigia EPL

1677063155705.png
 
  • Like
Reactions: Zawadi

Zawadi

Mgeni
Nov 4, 2022
41
17
5
Hakuna team yoyote ulaya haiogopi kukutana na Madrid aise hawa jamaa hata ukiwafunga hawapanikigi kabisa tena ndo uwaga wanachekelea tuu dadeq