Real madrid akishasikia kale ka mlio cha UEFA umekwishaa
This Real Madrid hawajui kufa aiseee , they are ruthless freak of nature linapokuja swala la knockout stage UEFA wanakuwa watu wengine kabisa walizaliwa kwa ajili ya UEFA
You just cant kill them , huwa hawana kabisa button ya kupaniki They just cruise through games, Nature ya team inaenda sawa sawa na nature ya Coach Always Giving up is not an option
Nilikua najiuliza mbona wanashambuliwa sana lakini hawapanic kumbe ooh ndo kwanza unawapa mokari , Madrid hata ikiwa mbovu ila kwenye UEFA anageuka mwa kichaa
Hakuna team yoyote ulaya haiogopi kukutana na Madrid aise hawa jamaa hata ukiwafunga hawapanikigi kabisa tena ndo uwaga wanachekelea tuu dadeq
Hawa ni kama wapewe tu kombe lao mapema wakiwa kwenye UCL hawana masikhara kabisa Namuonea huruma Klopp second leg pale Bernabeu kinachomkuta kwa Mara ya pili
Real Madrid walikuwa wamefia kwa Camavinga na wakafufukia kwa Camavinga. Yaani Liverpool mwanzo walinufaika na uwepo wa Camavinga katika kiungo cha chini kabla ya Ancelotti kumshusha Luka Modric na mechi ikabadilika ghafla na Real Madrid wakarudi mchezoni
Kama Real Madrid angependelea vile na Camavinga basi kipindi cha kwanza ungekuwa msiba kwao maana Camavinga alishindwa kabisa kuhimili presha ya Liverpool mwanzo.
Combination play Benzema ni masta asee kwenye washambuliaji duniani labda Super Kane ndo wanakaa daraja moja
wanapaswa kujifunza kutoka kwake!
Hakuna come back pale Bernabeu tena migoli zenyewe tano hahahahahahahah
Ni kawaida sasa kwa Laliga kujipigia EPL