Rodri Abeba BALLON D'OR Mbele Ya Vinny Jr | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

bobby swaggz

Mgeni
Oct 29, 2024
2
2
5
Mmhhh unaeza kunielezea japo kidogo Jr kwafanya kipi hii misimu kilicho mzidi Rodri?

Mimi binafsi nilitamani Jr Abebe hiyo tuzo lakini huo unakuwa ushabiki na sio mpira ndugu yangu angalia mchango wao hawa wawili wanapo kuwa kwenye timu za taifa na kwenye club zao
Na vipi kuhusu carv
 

briX

Mgeni
Oct 29, 2024
5
3
5
Anastahili kuchukua Rodrigo kwa sababu vini hana adabu akiwa uwanjani
tangu lini tabia ndo ikupe tuzo ya uchezaj bora ukaacha kuangalia kiwango. af kulalamika unapohis umeonewa ni kawaida. ronaldo kachukua izo tuzo na huwa analalamikaga ata kufokea marefa akiwa uwanjani
 

Hipority _Tz

Mpiga Chabo
Oct 29, 2024
2
0
0
Rodri ana stahil
Nyie ndio mmeanza kufuatilia mpira mwaka 2015 sio buree tuzo ya wazi kabisa kwa vini but unapo sema fair plya hivi ww ukishikwa tako na mwanaume mwenzio utakubal lazma uwake ko vini alikua anafanya self defence alikua anatetea haki za watu weusi tuzo ni yake but ulaya ni kama TFF tyu coz ilitokea kwa mwamnyeto
 

Hipority _Tz

Mpiga Chabo
Oct 29, 2024
2
0
0
tangu lini tabia ndo ikupe tuzo ya uchezaj bora ukaacha kuangalia kiwango. af kulalamika unapohis umeonewa ni kawaida. ronaldo kachukua izo tuzo na huwa analalamikaga ata kufokea marefa akiwa uwanjani
Hawa wanao mtetea rodri ni mashabiki wa barca hawajui mpira pale inapo hitajika kupambania haki lazma upambane