Sasa Tuone Kama Simba Itakufa.

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
Yametimia! Sasa Tuone Kama SSC Itakufa au Haitafanya vizuri Kwa kutokuwepo na Chama.
Nawaambia Wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila Fulani timu haichezi, sasa WASUBIRI Tuone Kama SSC haitacheza wala kushinda mataji!
Hongera SSC Kwa operation hiyo!
Kila Jambo na wakati wake na kila wakati na Jambo lake! Enzi za Chama zimepita tunaanza na enzi mpya!
 
dj snake66

Mgeni
Jul 1, 2024
1
2
5
Binafsi napongeza viongozi kwa maamuzi magumu na yenye tija kwa Simba. Nimefurahi Chama kuondoka Simba, ili aipe Simba nafasi ya kutengeneza upya muunganiko wa wachezaji wengine ambao watakuja kuipa timu ubora kama wa mwanzo 💥
Hatumdai! 🐒
#NguvuMoja🦁
 
  • Like
Reactions: Wistabby and iddy
Jul 1, 2024
1
2
5
Yametimia! Sasa Tuone Kama SSC Itakufa au Haitafanya vizuri Kwa kutokuwepo na Chama.
Nawaambia Wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila Fulani timu haichezi, sasa WASUBIRI Tuone Kama SSC haitacheza wala kushinda mataji!
Hongera SSC Kwa operation hiyo!
Kila Jambo na wakati wake na kila wakati na Jambo lake! Enzi za Chama zimepita tunaanza na enzi mpya!
Enzi mpya na Jobe...???
 
Colombian Mega

Mpiga Chabo
Jun 29, 2024
1
0
0
Afadhali ameondoka wakati ambao ata atujaumia, ni kipindi ambacho tunajitafuta ili tuweze kuwa bora zaidi. Tunamshukuru kwa mchango wake alioipa SSC.
 
Jun 13, 2024
5
1
5
Taasisi ni kubwa kuliko mtu, mtu anaweza hama na taasisi ikabaki palepale wakaja wengine kuendeleza. Ni muda wawanasimba kukaa na kutafakari yupi mtu sahihi wakuja kucheza kuziba pengo liloachwa kwenye mioyo ya wenyenchi.
 
Abduli

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
1
0
0
24
Singida
Tatizo watanzania tunaishi kwa mazoea
Tujifanya kujuw kilakitu na kukalili kila linalotokea
Tuachan na zama za kale tuwe wa kisasa