Senegal kombe la dunia mnawaelewaje?

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Am still not convinced with this Senegalese side,nawaona kama kwenye WC wanatoa only 60% ya uwezo wao instead ya kutoa angalau 80%-90%.So far sijaona kiwango cha Senegal walichoonyesha kule Afcon iliyoisha,je hizo 20%-30% ambazo hazijaonekana ndio za Sadio Mane?siwaelewi.
 
tusaandrew

Administrator
Nov 26, 2022
2
1
5
Am still not convinced with this Senegalese side,nawaona kama kwenye WC wanatoa only 60% ya uwezo wao instead ya kutoa angalau 80%-90%.So far sijaona kiwango cha Senegal walichoonyesha kule Afcon iliyoisha,je hizo 20%-30% ambazo hazijaonekana ndio za Sadio Mane?siwaelewi.
Sadio Mane ana mchango mkubwa sana kwenye timu zake ndo maana hata Liverpool imetetemeka msimu huu.