Am still not convinced with this Senegalese side,nawaona kama kwenye WC wanatoa only 60% ya uwezo wao instead ya kutoa angalau 80%-90%.So far sijaona kiwango cha Senegal walichoonyesha kule Afcon iliyoisha,je hizo 20%-30% ambazo hazijaonekana ndio za Sadio Mane?siwaelewi.