Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?

V. van BOY

Mpiga Chabo
Jun 29, 2024
1
0
0
mbeya
Mambo vipi mwana Kijiweni?
Hakuna ambaye hajawahi kucheza Mchezo huu wa Mpira Wa miguu wa makaratasi

Kama umekua ni miongoni mwa waliocheza Mchezo huu Kuna Sheria nyingi zaidi huwa zipo kuanzia tuko Utotoni mpaka sasa ni watu wazima wengine lakini huwa wanacheza.

Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?
mpira unaisha GIZA LIKIINGIA au nyanda akidunda mala3 😁😂🙌
 
Emanuel christian

Mpiga Chabo
Oct 30, 2024
2
0
0
Mambo vipi mwana Kijiweni?
Hakuna ambaye hajawahi kucheza Mchezo huu wa Mpira Wa miguu wa makaratasi

Kama umekua ni miongoni mwa waliocheza Mchezo huu Kuna Sheria nyingi zaidi huwa zipo kuanzia tuko Utotoni mpaka sasa ni watu wazima wengine lakini huwa wanacheza.

Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?
Apo hauna refareee mzeee baba ni shaureen soka Hilo mguu wa shingo mguu wa rohoo😅