SHERIA NA KANUNI ZA KIJIWE (TAFADHALI SOMA KABLA YA KUENDELEA)

Status
Not open for further replies.

tototundu

Kaka Mkubwa
Nov 26, 2021
23
21
6
Kijiwe hiki ni cha majadiliano ya jumla ya mambo yote ya Crypto. Tafadhali zingatia Kanuni zifuatazo.
  • Haturuhusu majadiliano yoyote ya KISIASA au PORNO. Post itaondolewa haraka
  • Affiliate links haziruhusiwi. Post itaondolewa haraka
  • Habari na maoni juu ya habari yanakaribishwa sana.
  • Utangazaji wa huduma unazotoa haziruhusiwi, matangazo yote yachapishwe hapa >
  • Mazungumzo ya bidhaa za kibiashara/huduma huenda katika Bidhaa na Huduma za Crypto.
  • Usichapishe Groups za WhatsApp, Telegram n.k. Wasiliana na admin
  • Unaweza kuripoti machapisho yasiyofaa"Ripoti kwa msimamizi".
 
Status
Not open for further replies.