Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa.

Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira.

Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida zao.

Kama Azam kadhalilika namna hii basi tuungane kwa pamoja kuichangia yanga, hawawezekani, period.
 
Jun 11, 2024
23
13
5
Muandishi ni uto,kabla ya mechi walifanya ule uswahili wao wa kuingia milango isiyo rasmi na baadhi ya wachezaji wote nusu yao hawakuingia kwenye basi lao,walifanya jana na mechi ya simba pia,hawa jamaa wako vizuri ila ushirikina nao wamuweka mbele sana,
 

Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
15
4
5
Ule msemo wa tumesajili vijana wao wazee siusikii tena,sasa hivi ni timu yetu haijaungana,tulipomfunga Kaizer nne walisema mbovu,vipi Azam ni mbovu pia, inawezekana timu zenu ni nzuri lkn shida inaanza pale mnapotaka kuzilinganisha na Yanga,tambeni pande zenu na sisi tutambe pande zetu.
 

eze

Mpiga Chabo
Aug 12, 2024
1
0
0
Kiufupi wapo vizuri Sana kwenye kamati ya ushirikina nawashauri wakaze mganga wao asije wasariti
 

Mzury

Mpiga Chabo
Aug 10, 2024
2
0
0
Habar wanakijiwe naomba kuuliza swari.. ivi fredy fungafunga⛹ī¸ ametolewa simba au bado yupo kwasababu kunatetes zinasema kwamb Simba anatafuta mshambuliaji na walisha mpata et nikweri?đŸĻâœī¸âœī¸