Mimi nilishuhudia Simba ikitawala mpira Sana kipindi Cha pili japo kiungo Cha Coastal union kilikamata Sana mpira
Napenda Aina ya Saido na Chama wanavyofanya wakiwa pamoja wanafanya mpira kile wao wanakitaka
Pia wapinzani walishindwa kuwazuia mabeki wa pembeni ndiyo madhara makubwa yalikuwa yanatoka huko Sana hata Goli lilanzia pembeni.