Simba haikuwa na shida na Kocha shida ya Simba ilikuwa na kiungo mkabaji

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Simba haikuwa na shida na Kocha shida ya Simba ilikuwa na kiungo mkabaji wa asili na no 9 wa asili

Mpira wa huyu Kocha Ni mbovu kabisa team haitembei kabisa team haina ule mpira wake wenyeji wamecheza vizuri wameingia na mpira wa juu Tena wa speed japo uwezo wao sio Kama was Simba Ila wameweza kuishinda Simba sababu mbinu za Mwalimu wa Simba ni mbovu haikuwa na haja ya kucheza 4 -3-3 haikuwa na haja kwa team Kama hii aliye haribu game ni Mwalimu 100%

Simba wana kazi na Raja weekend ijayo akicheza namna hii basi lile jina la kwa Mkapa hatoki mtu tutalisahau bad finishing press mbovu kabisa pongezi kwa Manula, kwani hata nje ya kucheza penati Manula ame save nyingi za wazi.

Simba Ina kazi ngumu Sana mechi zi jazo kwa mbinu hizi za Mwalimu.

DA780EE7-2F9C-4A9D-90AA-C83B8C2EC853.jpeg
 

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
kwa Mpira was juzi simba alikua na nafasii kubwa ya kupata points 3 au 1 naweza semaa bahatii haikua yetu kwanii tulipata clear chance 3 ambazo ingetumika hata moja ingebadilisha atmosphere nzimaa but naimani kubwa sana na simba michuano hii kwanii Mpira upo kwenye kipindi cha evolution (mabadiliko) unaweza kuona huyo Raja nae nafasi yakupita kwenye kundi anaipata kwa shida,,,tukumbuke misimu mingapii iliyopitaa tulikula 5 zakutosha na bado tulipenya na kufika mbali
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Simba tulifungwa goli lakichwa yanga pia hivo hivo nazote hiz nitim kubwa tz unadhan nimadhaifu gan wameyaona kwetu, nin kifanyike kulinda hadhi yetu mana bd kuna mechi nyingi nangum kuliko zilizopita, FIKLA NAMITAZAMO YAMBALI ktk soka la nyumban
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Hakuna nnachowadai wachezaji, sema nini walishindwa kumuamishia Bocco goli awe anafungia kule anakotaka yeye🥺🥺🥺, Manula alikua na siku njema kazini baada ya kuponzwa na mabeki wake. Sema Chama kadri umri unevyoenda ndivyo anakuwa hatarishi zaidi....well done boys...safari haijaisha hiii maiti tunaioshea kwa Mkapa machinjioni, hawataamini otherwise congrats.
 

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Kipindi cha kwanza simba confidence yao pia ilikua chin sana kias kwamba wamecheza mpira usiokua na mipango, specifically nusu saa ya kwanza
Ila kwa waliocheza mpira hasa nafasi za ushambuliaji,sio rahisi kumsimanga Boko..He was not just lucky,na sio kila clear chance zitafungwa..!Ingekuwa team zinatoka 12-7 kila siku..!

 

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Bench la ufundi la simba lilaumiwe kwa matokeo ya leo. Hivi unawezaje kumtoa sakho na kumwingiza bocco. Nadhani substitution mbovu kuwahi kutokea Ni hii. Tazama chance alizikosa bocco. It's time to say goodbye John bocco , it's your time to retire
 

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Zimbwe, kapombe, manula, wamepata uzoefu kupitia competition za caf cl lkn boko miaka yote hiyo yy uzoefu kwake sio jambo la msingi. Unakosa nafasi clear kwny nyakati muhimu km hizi kweli upo seriously?
 

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Kuna kiungo anaitwa kante🔥 na winga moja jezi no 10 hatar san hawa kante alihakikisha second ball zot kutok kwa mabek wake anakua wa kwanz yey