Simba Inaenda Kurudisha Hadhi Na Msisimko Wa Kombe La CAF Shirikisho

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
56
54
5
Dar Es Salaam
Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi ulikuwa unaendelea kwa vitimu vile visivyokuwa na profile.



Imagine vitimu kama Malumo ambavyo katika ligi ya ndani vilikuwa vinaelekea kushuka daraja unavikuta viko nusu fainali. Ukiangalia kule unakutana na kitimu kinaitwa sijui Yanga kinafika hadi fainali tena kwa kusumbua timu karibu zote ila ukiangalia katimu hakana mbele wala nyuma. Anyway tuyaache hayo.



Nikiangalia kinachoenda kutokea msimu huu wa 2024-25 ni kuwa Kombe la Shirikisho litakuwa na msisimko sana ambao uaweza hata kuzidi ule wa Champions League. CL imepoteza timu kadhaa kubwa zilizokuwa zinayapa mashindano hadhi. CAF inaenda kuyapa coverage kubwa mashindano ya Shirikisho kutokana na ushiriki wa Simba.



Angalizo: Hersi ana ukaribu sana na Kaizer Chiefs, Simba inabidi icheze kwa stepu mashindano haya.
 
  • Like
Reactions: shuby

AudaxRox

Mgeni
Jun 17, 2024
5
5
5
Kwa msimu huu kwanza tusitegemee makubwa kutoka kwao, wapo na wachezaji wengi wapya na wengi wao hawana uzoefu na mashindano kama haya ya kimataifa
 

athanasdickson

Mpiga Chabo
Jun 22, 2024
3
0
0
Admin wa kijiweni mbona unatupostia mazoezi ya 🦁 simba tu na siyo yanga au kijiwe ni cha simba tu yanga hawana maajabu au na ww ni mnyama
 

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
48
7
5
Simba baba lao aisee,,,katika timu zote za Tanzania Simba ndo timu pekee inayoanza hatua ya pili,,,wengine wote wanaanza pre liminary stage,,,,Waooow waooow waooow🦁🦁🦁🦁🐮