Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi ulikuwa unaendelea kwa vitimu vile visivyokuwa na profile.
Imagine vitimu kama Malumo ambavyo katika ligi ya ndani vilikuwa vinaelekea kushuka daraja unavikuta viko nusu fainali. Ukiangalia kule unakutana na kitimu kinaitwa sijui Yanga kinafika hadi fainali tena kwa kusumbua timu karibu zote ila ukiangalia katimu hakana mbele wala nyuma. Anyway tuyaache hayo.
Nikiangalia kinachoenda kutokea msimu huu wa 2024-25 ni kuwa Kombe la Shirikisho litakuwa na msisimko sana ambao uaweza hata kuzidi ule wa Champions League. CL imepoteza timu kadhaa kubwa zilizokuwa zinayapa mashindano hadhi. CAF inaenda kuyapa coverage kubwa mashindano ya Shirikisho kutokana na ushiriki wa Simba.
Angalizo: Hersi ana ukaribu sana na Kaizer Chiefs, Simba inabidi icheze kwa stepu mashindano haya.