MAELEKEZO ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi kufuatia uharibifu wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Simba Sports Club ya Tanzania na CS Sfaxien ya Tunisia, Desemba 15, 2024.