Simba Kuwajibika Uharibifu Wa Viti Kwa Mkapa ,Umeipokeaje Taarifa Hii?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
485
641
125
MAELEKEZO ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi kufuatia uharibifu wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Simba Sports Club ya Tanzania na CS Sfaxien ya Tunisia, Desemba 15, 2024.

Ge5cXwSXoAEH1AA.jpg
 

Jason

Mpiga Chabo
Dec 16, 2024
2
0
0
Binafi Mimi sikubaliani na iyo kauli kwa sababu wapinzan ndo wameanza vulugu na ulinzi ulikuwepo ukawaacha mashabaki wa Simba nao wakaona wasikubali unyonge yangu ndo ayo
 
Nov 7, 2024
17
5
5
Hii sio haki huyu waziri anatafuta kitu kwenye timu yetu maana waliofanya vurugu zote ni mashabiki wa timu pinzani na hujuma zote zilianzia kwao iweje kunyanyaswa simba kubwa ndio waharibifu wakati sehem kubwa iliyochukua mashabiki wa simba ilitulia bila kufanya ghasia isipokua ni kwa wapinzani? CCTV camera zipo haki itekelezwe.
 

wilmon simon

Mpiga Chabo
Dec 16, 2024
2
0
0
Mbona so haki Simba wao walitulia vurugu ilianzishwa na waarabu Kwan cs faxien ndio Tim ya kwanza kufungwa na Simba al ahal Tume wafunga hatukuvunj vit sembuse Hawa hay vp wao wamepewa adhab gan????