SIMBA NA AZIZI K KUNA HABARI GANI

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Salamu tu unayumbisha timu?
Simba bila Chama kuna nini hapo
heri Yanga bila Azizi kuna kuna Fei
TFF wanaendeshaa mpira wetu kama kamchezo flani ka siasa hii ni football watu wanapambana kufanikisha team zao, kuna sheria zingine hazina maana yoyote ni kurudishana nyuma tu. Mpira wa Bongo bado sana
 
  • Like
Reactions: McRay and sharon

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Salamu tu unayumbisha timu?
Simba bila Chama kuna nini hapo
heri Yanga bila Azizi kuna kuna Fei
TFF wanaendeshaa mpira wetu kama kamchezo flani ka siasa hii ni football watu wanapambana kufanikisha team zao, kuna sheria zingine hazina maana yoyote ni kurudishana nyuma tu. Mpira wa Bongo bado sana
aiseee Bongo nyoso
 
McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Salamu tu unayumbisha timu?
Simba bila Chama kuna nini hapo
heri Yanga bila Azizi kuna kuna Fei
TFF wanaendeshaa mpira wetu kama kamchezo flani ka siasa hii ni football watu wanapambana kufanikisha team zao, kuna sheria zingine hazina maana yoyote ni kurudishana nyuma tu. Mpira wa Bongo bado sana
Mpira wetu bado sana