Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo,
Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama
,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa timu.
Au bado wanachama ndio wamiliki wa hizi timu na mimi ndiye sielewei ?
Nani ni nani kwenye hizi timu?