Simba Na Yanga Ni Timu Za Wanachama Au Matajiri Wafadhili Kwa Sasa?

May 27, 2024
14
7
5
Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo,

Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama
,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa timu.

Au bado wanachama ndio wamiliki wa hizi timu na mimi ndiye sielewei ?
Nani ni nani kwenye hizi timu?
 

Idrisa khasim

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
4
0
0
Mpira wa sasa hivi kiukweli hauitaji hivyo vizee tena kabwela,wamefulia mpaka akili,hao wanalikwamixha soka letu,kwani wanawaz maslahi zao tu
 

Idrisa khasim

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
4
0
0
Halafu kumuondosha injinia,athari zake co yanga tu mpaka soka lote kitaifa litaathirika,mm mwana simba ila kiongozi kama huyo hatuna