Simba SC Inasajili Kwa Matokeo Endelevu Na Ya Mafanikio Kwa Miaka Mingi Ijayo

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
 
  • Like
Reactions: jusluiz

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Kweli kabisa,,, sajili zote ni vijana wenye umri wa kucheza mda mrefu, siyo kama wale wa upande mwingine wanaosajili mabaki yetu.