SIMBA SC Na Azam, Kuna Kitu Yanga Anawafundisha Lakini Hamuelewi. Mpira Hauna Shortcut

Hammy36

Guest
Jan 17, 2023
63
61
25
Dar Es Salaam
Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious .

Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things.

Very soon Simba SC anakwenda kuwa underdog kwa Yanga by 80%

There is no shortcut kwenye soka, mpirani mchezo wa wazi kabisa na hakuna njia ya mkato. lakini Simba SC wapo bado kwenye UDANGANYIFU na Utapeli….. kikosi cha bil 7 , nasema tena bado hamjawa serious na bado mmezoea shortcu Kazi mnayo

Yanga kanyaga twende.

Tumechelewa sana . Kombe linaénda kwa YANGA as usual, hakuna timu itakayouweza Yanga kwa miaka 5 mfululizo.
 

Stuart 04

Mgeni
May 3, 2024
17
4
5
Kwanini mnatoa Siri waacheni wenyewe wakisemwa wananuna wanaona wanaonewa waacheni wanajua kwanza wanahela yanga wanawamudu na watamfunga tano tano "SIMBA, AZAM MWAYA MNAJUA MSISIKILIZE MANENO👉🤭👈"
 
Jun 11, 2024
23
13
5
Ungesema mapema kaka kabla ya yooote haya,kinachoonekana saiv ni matunda ya baadae,miongozo hii wanayoifanya yanga basi simba miaka4 iliifanya ila now iko wapi,hata yanga saivi hakamatiki ila ikifika muda wa timu nyengne bc yanga atakuwa chini,kuna kitu kwenye ligi kwanni timu zisiwe bora kwa wakati mwingi? Kwann timu zipokezane ubora kma mbio za vijiti? Tujiulize hapo tu
 
  • Like
Reactions: Chumo

Chumo

Mgeni
Jun 22, 2024
6
1
5
Mpira wa Tanzania ni drama, unapoiponda simba ya leo usisahau simba ya miaka 4 ago, na unapoisifia yanga ya ya leo usisahau yanga ya miaka 5 ago. So what next???, usije ukaitabiria miamba hii miwili may be umejua mpira jana. Jiulize kitu gani kiliijenga simba imara na kipi imeidhoofisha??? Kitu gani ilifanya yanga mbovu (2017-2021) na yanga ya hii leo. Jiulize Yanga ya kesho bila GSM itakuaje rejea hisia zako ulivyojisikia kuhusu sakata la MAGOMA, ungekuwa hakimu ungemuhukumu kifo, Vp kuhusu simba ya kesho bila MO??? Jibu tunalo. Mafanikio ya kudumu ya simba na yanga hayapaswi kutegemea pesa zinazotoka kwenye mifuko ya watu, kama hawatabadilika wataendelea kupokezana vijiti vya ubora kwa karne na karne au wakapotea kabisa. NB:Timu yako ikiwa kwenye ubora leo tamba uwezavyo maana ya kesho hayajulikani.
 
  • Like
Reactions: Eddy de Jr

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Yaani shabiki yoyote wa Yanga asitambe kihivo. Anguko la Simba hata haijafikia robo ya anguko la Yanga ya kibakuli. We are not so far as