Simba wakimpa Thank you CHAMA ndo nitaamini wako Serious na Mabadiliko

De Sòuzα

Mgeni
Jun 22, 2024
11
2
5
Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu,Vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale?

Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh!

Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu!,Sasa nitashangaa kama asipopewa Thank you maana akiachwa sasa hivi baadae ikitokea akaharibu namuhurumia Mangungu atakavyosakamwa na wakaa vij
iweni!
 
😂😭🤐

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
1
0

Ni player mzuri ila si vizuri tukabaki nae