Tabiri Matokeo Ya Magoli Leo Ngao Ya Jamii Yanga SC vs SIMBA SC

Yasrikidelengwe

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
4
0
0
Leo kwa Mkapa kuna kazi moja tu ya kumaliza ubishi baina ya vigogo wawili wa soka nchini. Ndio kama kuna waliokuwa wakiona Agosti 8, siku yenyewe ndio hii wakati timu hizo zitakapovaana katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii. Lazima mtu apasuke katika mechi hii ili kupata mshindi wa kucheza fainali Jumapili.
Simba3 yanga 1
 

King Walter

Mgeni
Jun 15, 2024
4
1
5
Kwa mechi ya Leo DNB ni option kubwa Zaid kwasababu timu bado hazifahamiani na tusibebwe na ushabiki kuwa yanga anashinda kama wanavyo sema sijui 5+ au 3+ kumbuka simba ya sasa ni timu Mpya na tofaut hawajaonesha pre season yao kwahy bado Simba ya fadlu haijafahamika vizuri mfumo yake ila yanga tumeiona kwa mechi takribani 3 plus yanga day tunajua ilivyo kwahy leo nadhan tunaweza kutana na mpira mzuri sana pia wa vipaji.

Fadru anaweza kuwadefine yanga kwasababu kawaona katika mechi kubwa kama ya Ausburg pamoja na kaizer chief ila Gamondi hawezi kuidefine Simba kwa haraka zaid labda asubiri kipindi cha kwanza atakapo kuwa amekufa kwa goli 2 bila

#TukutaneLupaso
 

Kisuse

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
3
0
0
Leo kwa Mkapa kuna kazi moja tu ya kumaliza ubishi baina ya vigogo wawili wa soka nchini. Ndio kama kuna waliokuwa wakiona Agosti 8, siku yenyewe ndio hii wakati timu hizo zitakapovaana katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii. Lazima mtu apasuke katika mechi hii ili kupata mshindi wa kucheza fainali Jumapili.
Leo Young wanashinda 3
 

kasimodyo

Mgeni
May 18, 2024
9
3
5
Leo kwa Mkapa kuna kazi moja tu ya kumaliza ubishi baina ya vigogo wawili wa soka nchini. Ndio kama kuna waliokuwa wakiona Agosti 8, siku yenyewe ndio hii wakati timu hizo zitakapovaana katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii. Lazima mtu apasuke katika mechi hii ili kupata mshindi wa kucheza fainali Jumapik
 

kasimodyo

Mgeni
May 18, 2024
9
3
5
Wanasimba wanasifa sana na mashabiki wengi ni wale ambao hawajui swala nzim ya football ,mpk sasa naweza kusema kuwa simba fc bado wanajitafuta kikosi bado haijakaa sawa ,ukifuatilia mechi za simba zote tatu za kirafiki utaona bado hakuna muunganiko bora kwa wachezaj kuna mda wanapoteana ,wanaaenda kukutana na timu amby kiufupinhawana mabadiliko makubwa na wanacheza vyo kwa kifupi kweny hii mechi kama simba wakj na akili ya kushambulia bx watafungwa magoli zaid ya .matatu