Tabiri Matokeo : Yanga Vs Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Burhani Muhunzry

Mpiga Chabo
Feb 17, 2025
1
0
0
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.

Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?

Tabiri Matokeo : Yanga Vs Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025
Leo ni Big star win 2-1 au droo 2-2 labda yanga ipate penalties ndo ishinde
 
laally_x

Mpiga Chabo
Feb 17, 2025
1
0
0
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.

Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?

Tabiri Matokeo : Yanga Vs Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025
yanga 2 singida 1