Wakati hali ya shauku ikizidi kote barani, makocha, wachezaji, na mashabiki wanatamani kufahamu ni nani timu zao zitakutana nao katika vita vya hatua ya makundi yatakayopangwa leo , lakini kumbuka kuwa Droo hii si tu utaratibu wa kawaida bali inaashiria mwanzo wa kihistoria wa mashindano makuu ya soka barani Afrika, ambayo yatadumu kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026.
- Pot 1: Morocco (hosts), Senegal, Egypt, Algeria, Nigeria, Côte d’Ivoire (defending champions)
- Pot 2: Cameroon, Mali, Tunisia, South Africa, DR Congo, Burkina Faso
- Pot 3: Gabon, Angola, Zambia, Uganda, Equatorial Guinea, Benin
- Pot 4: Mozambique, Comoros, Tanzania, Sudan, Zimbabwe, Botswana