Taja Sifa Moja Ya Marefa Wanaochezesha Mechi Za Mtaani (Ndondo)

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
564
726
125
Katika mechi zetu za kwenye mitaa yetu huwa kuna marefa ambao mara nyingi huchezesha mechi hizi kuanzia zile za ligi ya mbuzi mara ligi ya mbunge nk
Taja Sifa Moja Ya Marefa Wanaochezesha Mechi Za Mtaani (Ndondo)
 
  • Like
Reactions: Young Ramson

Maconection26

Mpiga Chabo
Nov 2, 2024
2
0
0
21
Katika mechi zetu za kwenye mitaa yetu huwa kuna marefa ambao mara nyingi huchezesha mechi hizi kuanzia zile za ligi ya mbuzi mara ligi ya mbunge nk
Taja Sifa Moja Ya Marefa Wanaochezesha Mechi Za Mtaani (Ndondo)
Unajua Hawa ndo marefa ambao wanapitia changamoto nyingi sana kwenye ndondo lakin kingine huwa Wana Sifa ya kubeba siraha wakati wa kuingia uwanjan Kwa ajiri kujilinda