Takwimu Za Simba Na Yanga Misimu 5 Iliyopita | Nani Unamuona Akishinda Mchezo Wa Dabi Tarehe 19?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
620
125
Kwa takribani misimu mitano ya nyuma klabu ya Yanga imekuwa tishio dhidi ya Simba haswa pale miamva hii inapokutana uwanjani.
Kwenye michezo 10 waliyocheza ndani ya misimu 5, Yanga wameshinda michezo 4, Simba ameshinda mara 1 na wametoa sare 5.
Takwimu hizo ni kama ifuatavyo;

Msimu 2023/24
• Simba 1-5 Yanga (Novemba 5)
Yanga2-1 Simba (Aprili 20)

Msimu wa 2022/23
Yanga 1-1 Simba (Oktoba 23)
• Simba 2-0 Yanga (Aprili 16)

Msimu wa 2021/22
• Simba 0-0 Yanga (Desemba 11)
Yanga 0-0 Simba (Apri 30)

Msimu wa 2020/21
Yanga 1-1 Simba (Novemba 7)
• Simba 0-1 Yanga (Julai 13)

Msimu wa 2019/20
• Simba 2-2 Yanga (Jan 4)
Yanga 1-0 Simba (machi 8
 

Bright eustadius

Mpiga Chabo
Oct 16, 2024
1
0
0
Kwa namna mpira wa sasa ulivyo ni ngumu kutabili nani anakuwa mshindi wa mechi hiyo but favourite wa mchezo ni yanga kulingana na ubora wao walionao lakini haiwapi moyo kwamba wanaweza kushinda mpira una matokeo matatu na lolote linaweza kutokea kwenye mpira ndo maana kipindi yanga anafungwa mbili bila ni mwaka yanga alikuwa superb but alifungwa
 

Asheri.P

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
3
0
0
Hapa Yanga anauwezekano mkubwa wa kushda mechi..
Simba kuna baadh ya wachezaji wakibanwa hawana ujanja..
Yanga kila mchezaji anafaida inakuwa ngumu kumbana mmoja uache wengine
 

Dockham

Mpiga Chabo
Oct 15, 2024
3
0
0
Kwa takribani misimu mitano ya nyuma klabu ya Yanga imekuwa tishio dhidi ya Simba haswa pale miamva hii inapokutana uwanjani.
Kwenye michezo 10 waliyocheza ndani ya misimu 5, Yanga wameshinda michezo 4, Simba ameshinda mara 1 na wametoa sare 5.
Takwimu hizo ni kama ifuatavyo;

Msimu 2023/24
• Simba 1-5 Yanga (Novemba 5)
Yanga2-1 Simba (Aprili 20)

Msimu wa 2022/23
Yanga 1-1 Simba (Oktoba 23)
• Simba 2-0 Yanga (Aprili 16)

Msimu wa 2021/22
• Simba 0-0 Yanga (Desemba 11)
Yanga 0-0 Simba (Apri 30)

Msimu wa 2020/21
Yanga 1-1 Simba (Novemba 7)
• Simba 0-1 Yanga (Julai 13)

Msimu wa 2019/20
• Simba 2-2 Yanga (Jan 4)
Yanga 1-0 Simba (machi 8
Tukizungumza kimpira kulingana na takwimu inaonesha wazi kuwa yanga amemfunga zaidi simba.Na pia kwa sasa yanga haijabomoa kikosi,bali imeimarisha tu eneo la ushambuliaji kwa kumleta prince dube, pia kuwabakiza wachezaji muhimu kama stefan aziz ki ni jambo lenye kufanya yanga ibaki kwenye ubora wake.
Tofauti na simba ambao wamesajili wachezaji wengi wapya,hivyo bado wanajenga timu,na angalau wanaenda kujipata.Mimi naipa credit zaidi yanga kupata ushindi kulingana na takwimu na ubora wa wachezaji wao ambao wana profiles kubwa zaidi kuliko wachezaji wa simba ambao bado wanaendelea kukua kisoka na hawana experience kubwa kwenye football