Tanzania Inafuzu AFCON 2025 Nchini MOROCCO | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
420
549
125
Timu ya Taifa ya Tanzania inafanikiwa kufuzu AFCON ya Mwaka 2025 Nchini Morocco Baada ya Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri Dhidi ya Guinea likifungwa na Simon Msuva

Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
 
  • Like
Reactions: SmartArts
May 9, 2024
3
1
5
Tunahitaji kuendelea kuzaa vipaji. Hongera kwa timu na kwa wachezaji wameamua tumalize hii mechi! Big up kwa all time goal scorer Msuva, Captain Samatta, Fei, Mudathir, Kibu, Kapombe, Hussein, Bacca, Dickson na benchi zima la ufundi. We deserve this and let's show them we are not underdogs
 

mc kipanya

Mgeni
Nov 19, 2024
1
1
5
Kilichonifuraisha sio kushinda kwa staz bari ni washabiki walivyoujaza uwanja na kushangilia mwazo mwisho kwanye mechi iyo.. ongera sana kwa washabiki wote waliojitokeza uwanjani๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
  • Like
Reactions: tc nsupar

baba akooo

Mgeni
Aug 11, 2024
14
6
5
Hongera kwa Tanzania
Muda mzuri wakujipnga kutngeneza kikosi kizur hasa eneo la mwisho kushambulia tunajitaid kutngeneza nafasi finishing bado
 

Mr boza

Mpiga Chabo
Nov 19, 2024
1
0
0
Hongereni stars mipango imeenda vizur saana.... Kikosi tunacho na imani morroco kule tuta fanya vizur saana.
 

Mnakane Sr.

Mgeni
Oct 7, 2024
3
1
5
Ni muda sasa wa kuheshimu juhudi za Wachezaji wetu ambao ni Icon, tuwape Heshima Samatta na Msuva wamefingua njia na wanaongeza Ari Kwa vijana wanaochipukia.
Tuache masemango Bali tuwatie moyo

Haongera Taifa Stars we are Tanzania ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 

Areson _jr

Mpiga Chabo
Aug 7, 2024
5
0
0
Mpira mzuri kutoka kwa vijana wetu "taifa stars" na Kam nilivyosema mwanzo humu kuwa ushindi lazima na hakika yametimia๐Ÿ™ tuendelee kupambania ndugu zetu waliopata adha Karia koo inshallah mwenyezi Mungu Watangulize๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™