Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Crypto
Kijiwe cha Bitcoin (BTC)
Tanzania ingenunua Bitcoin za milioni 200 mwaka 2011 leo tungekua mbali
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Hesabu hazidanganyi..

Mwaka 2011 bei ya Bitcoin ilikua around 1usd per coin. Sasa tuchukulie nchi ya Tz ingetoa walau 200mil na kununua bitcoin (badala ya kumnunulia DED au DC v8 la kutembelea)..

200mil ni sawa na 86,956 usd (tuchukulie 1usd ni 2,300 Tsh).

Kwa bei ya 1usd per bitcoin maana yake Tanzania ingekua na umiliki wa bitcoins 86,956 kwa sasa!!

Sasa bei ya bitcoin moja kwa sasa ni around 60,000 usd.

Kwa bitcoin 86,956 ina maana leo hii Tz ingekua dola za marekani 86,956 x 60,000 = 5,217,391,304.35 cash!!

Sasa hizo ni USD tuzi badili ziwe Tsh...

5,217,391,304.35 x 2,300tsh = 12,000,000,000,000 Tsh!

Mimi sio mhasibu lakini nadhani hapo inasomeka trillion kumi na mbili net!

Kama nchi tungekua na 12trillion ina maana leo...

1. Tusingekua tunapitisha bakuli kwa mabeberu kuomba msaada wa kujenga stiglazi goji.

2. Tusingekua tunahangaika kuomba misaada kujengewa miradi ya maji.

3. Reli ingejengwa bila kungoja misaada

4. Tusingengojea misaada ili kujenga vyoo mashuleni.

Nk nk nk!

NB: Lazima tufikirie dunia inaenda kasi kweli kweli!

[QUOTE="Mkwavinyika, post: 135, member: 7"] Hesabu hazidanganyi.. Mwaka 2011 bei ya Bitcoin ilikua around 1usd per coin. Sasa tuchukulie nchi ya Tz ingetoa walau 200mil na kununua bitcoin (badala ya kumnunulia DED au DC v8 la kutembelea).. 200mil ni sawa na 86,956 usd (tuchukulie 1usd ni 2,300 Tsh). Kwa bei ya 1usd per bitcoin maana yake Tanzania ingekua na umiliki wa bitcoins 86,956 kwa sasa!! Sasa bei ya bitcoin moja kwa sasa ni around 60,000 usd. Kwa bitcoin 86,956 ina maana leo hii Tz ingekua dola za marekani 86,956 x 60,000 = 5,217,391,304.35 cash!! Sasa hizo ni USD tuzi badili ziwe Tsh... 5,217,391,304.35 x 2,300tsh = 12,000,000,000,000 Tsh! Mimi sio mhasibu lakini nadhani hapo inasomeka trillion kumi na mbili net! Kama nchi tungekua na 12trillion ina maana leo... 1. Tusingekua tunapitisha bakuli kwa mabeberu kuomba msaada wa kujenga stiglazi goji. 2. Tusingekua tunahangaika kuomba misaada kujengewa miradi ya maji. 3. Reli ingejengwa bila kungoja misaada 4. Tusingengojea misaada ili kujenga vyoo mashuleni. Nk nk nk! NB: Lazima tufikirie dunia inaenda kasi kweli kweli! [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Crypto
Kijiwe cha Bitcoin (BTC)
Tanzania ingenunua Bitcoin za milioni 200 mwaka 2011 leo tungekua mbali
Top
Bottom