Tanzania yachaguliwa kuwa chuo cha mafunzo ya VAR

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
Tanzania ndio nchi pekee iliyoteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kutoka ukanda wa CECAFA kuwa kituo cha mafunzo ya VAR.

Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, vituo vingine ni Afrika Kusini, kutoka ukanda wa COSAFA, Senegal kutoka ukanda wa WAFU A na Ivory Coast kutoka ukanda wa WAFU B.
 

vinik_49

Mgeni
Jun 9, 2024
19
11
5
Bongo sisi wenyeweee ndo VAR semaa boraa ijee tu huenda tutapiga hatua nyinginee kwenye soka
NB:yanga bingwa🔰