Ten Hag abaki Man utd

Mgunda

Mgeni
May 27, 2024
3
1
5
Erik ten Hag atabaki kuwa meneja wa Manchester United, uamuzi umeshafanyika.Ten Hag ameambiwa baada ya uamuzi wa mwisho kutoka kwa INEOS.
Mazungumzo ya mkataba yatafuata,Ten Hag atakuwa meneja wa Man United kwa msimu ujao.

Mashabiki wa man u mnahisi Ten hag atatuonyesha maajabu msimu ujao?
 
  • Like
Reactions: Michael Sambonanga
May 2, 2024
9
3
5
Amn maajabu yoyote yale kama alishidwa msimu ulio pita japo alikuwa
Na wachezaji wazuri sasa na huuu vipi ataweza sas
Ni kwamba level ya man u bora watafute kocha mwingine two
 
Melick90@

Mgeni
May 2, 2024
5
2
5
Ten hag ana kitu kweny ukocha. Ila ili hapate mafanikio inabidi alete wachezaji wenye chachu ya mafanikio. Pia shida inakuja mchezaji gani yupo sokoni saiz anataman kwenda man u ni hakuna
 
  • Like
Reactions: Mkwavinyika

Mgunda

Mgeni
May 27, 2024
3
1
5
Ten hag ana kitu kweny ukocha. Ila ili hapate mafanikio inabidi alete wachezaji wenye chachu ya mafanikio. Pia shida inakuja mchezaji gani yupo sokoni saiz anataman kwenda man u ni hakuna
Na wachezaji kweli hawatutaki man utd kabisa