TFF kwani mipaka yake ni ipi? Hapa Clouds wanahusikaje? Kwanini wasijibu hoja zao

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Hawa TFF wameanza lini kusimania vyombo vya habari? wameanza lini kuzuia watu kusema yaliyowakumba? wangesubiri Alexander amalizie maelezo kisha wachukue hatu mana hivi ni kama vitisho.

Clouds wanahusikaje na TFF? chombo cha habari na wao wapi na wapi ni kama wanavuka mipaka kwenye taasisi isiyokua yao wao wadili na wahusika wao na sio chombo kilichotoa habari, vyombo vya habari ndo kazi zake kutoa taaifa yoyote iliyotoka kwa muhusika.

Ndomana mpira wetu hausogei kila siku ni kutishiana mpaka kuvuka mipaka wameshindwaje kusimamia kwenye eneo lao, Karia anatumiaga hisia zake kuendesha mpira wetu hata hao waliosema walipaswa kuombwa ushahidi na sio kuwaza tu hukumu kwasababu wao ndo wako madarakani basi wanaamua tu chochote. TUNA UONGOZI MBOVU WA MPIRA TANZANIA.

Na je ni kweli wameshutumiwa au wameambiwa ukweli? hii ndo ilikua hoja yakujibu, Mtu hawezi kuwekeza kwenye uwanja wake alafu mumzuie kutumia, Aliujenga kufanya nini? then ndo viongozi wa mpira na tunategemea maendelea kweli? Soka letu litabaki kujikongoja kama ndo uongozi huu wakutumia hisia tutaendelea nao.

1674021670096.png
 
Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120

View attachment 1047
huu uongozi wa TFF mpka uishe tutakuatumeiva
 
jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90

Uongozi wa TFF ni mbovu
 
Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124

As much as I hate TFF lkn sidhani kama Wana mamlaka ya kuingilia maudhui ya vyombo vya habari..
Kama wao walivyo na kinga ya kuingiliwa na serikali sidhani kama Wana mamlaka ya kuingialia vyombo vya habari
 
McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Hawa TFF wameanza lini kusimania vyombo vya habari? wameanza lini kuzuia watu kusema yaliyowakumba? wangesubiri Alexander amalizie maelezo kisha wachukue hatu mana hivi ni kama vitisho.

Clouds wanahusikaje na TFF? chombo cha habari na wao wapi na wapi ni kama wanavuka mipaka kwenye taasisi isiyokua yao wao wadili na wahusika wao na sio chombo kilichotoa habari, vyombo vya habari ndo kazi zake kutoa taaifa yoyote iliyotoka kwa muhusika.

Ndomana mpira wetu hausogei kila siku ni kutishiana mpaka kuvuka mipaka wameshindwaje kusimamia kwenye eneo lao, Karia anatumiaga hisia zake kuendesha mpira wetu hata hao waliosema walipaswa kuombwa ushahidi na sio kuwaza tu hukumu kwasababu wao ndo wako madarakani basi wanaamua tu chochote. TUNA UONGOZI MBOVU WA MPIRA TANZANIA.

Na je ni kweli wameshutumiwa au wameambiwa ukweli? hii ndo ilikua hoja yakujibu, Mtu hawezi kuwekeza kwenye uwanja wake alafu mumzuie kutumia, Aliujenga kufanya nini? then ndo viongozi wa mpira na tunategemea maendelea kweli? Soka letu litabaki kujikongoja kama ndo uongozi huu wakutumia hisia tutaendelea nao.

View attachment 1047
Uongozi wa mihemko sana huuu