Hawa TFF wameanza lini kusimania vyombo vya habari? wameanza lini kuzuia watu kusema yaliyowakumba? wangesubiri Alexander amalizie maelezo kisha wachukue hatu mana hivi ni kama vitisho.
Clouds wanahusikaje na TFF? chombo cha habari na wao wapi na wapi ni kama wanavuka mipaka kwenye taasisi isiyokua yao wao wadili na wahusika wao na sio chombo kilichotoa habari, vyombo vya habari ndo kazi zake kutoa taaifa yoyote iliyotoka kwa muhusika.
Ndomana mpira wetu hausogei kila siku ni kutishiana mpaka kuvuka mipaka wameshindwaje kusimamia kwenye eneo lao, Karia anatumiaga hisia zake kuendesha mpira wetu hata hao waliosema walipaswa kuombwa ushahidi na sio kuwaza tu hukumu kwasababu wao ndo wako madarakani basi wanaamua tu chochote. TUNA UONGOZI MBOVU WA MPIRA TANZANIA.
Na je ni kweli wameshutumiwa au wameambiwa ukweli? hii ndo ilikua hoja yakujibu, Mtu hawezi kuwekeza kwenye uwanja wake alafu mumzuie kutumia, Aliujenga kufanya nini? then ndo viongozi wa mpira na tunategemea maendelea kweli? Soka letu litabaki kujikongoja kama ndo uongozi huu wakutumia hisia tutaendelea nao.