Thank You Iendelee Kwa Nani SIMBA SC ?

sadiki james

Mgeni
Jun 13, 2024
18
7
5
Wale watoto wanatolewa kwenye timu zao na wakiwa tegemezi wanaletwa huku msimu mzima wanacheza mechi Moja bora2 waachiwe huru waende wakatimize malengo na vipaji vyao mahala pengine
 

stone-bway

Mpiga Chabo
Jun 20, 2024
1
0
0
Skuona umuhimu wa kumuacha miquosone wakati hakupewa mda wa kucheza jobe,onana,Fred,babCar sarr Badoo hawajawaacha istoshe first priority nilizani watatambulisha kwanza kocha then yeye ndo aende pre season na timu akawatizame wachezaji wake ndo angkuwa final say lakn siyooo viongozi hapo ni uongo utashangaaa Leo wanakwamby wanamuacha chasambi🤣🤣🤣🤣