Timu Gani Inaongoza Kwa Kuwa Na Mashabiki Wenye Shangwe Sana LIGI KUU YA NBC?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Unaweza kuwa ni miongoni mwa mashabiki wa soka ambao wamekua wakishiriki kwa namna moja au nyingine kwenda viwanjani ambapo mara nyingi huwa kuna shangwe sana ndani yake kwa vile ambavyo mashabiki wa timu hizo wanavyokua wanawapa nguvu wachezaji wao.

Hivi Timu Gani Inaongoza Kwa Kuwa Na Mashabiki Wenye Shangwe Sana LIGI KUU YA NBC?
 

mbatte

Mgeni
Sep 5, 2024
9
3
5
Wanangu wa lunyasi wanakuwaga na shangwe sana haijalish last game walifungwa wakchz gud tu hatr xana na Tambo kibao 💯💯💯💯💯
 

musis

Mpiga Chabo
Jun 29, 2024
1
0
0
You may be one of the football fans who have grown up participating in one way or another going to the stadiums where there is often a lot of joy in it because the fans of those teams are giving strength to their players as they grow up.

Which Team Leads NBC's Major League Soccer Fans?
Amangushi ' Coast Union' moja ya jimbo lao bora ni "tunataka bao bao bao" 😆
 

Isma~lee

Mpiga Chabo
Sep 10, 2024
1
0
0
Kuna wa2 wanajiita Mapigo na mwendo,Kwabongo hii ukizungumuzia Vibe bila kuweka upenzi watim yako 🦍 ni mfano wakuigwa hawapoi wala kuboa