Timu Gani Msimu wa 2023/2024 zimeongoza Kwa kuchana mikeka?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
273
389
25
Maafisa UBASHIRI huu Msimu kulikua na mambo mengi sana lakini zipo Timu ambazo tulikua tunaziwekea mikeka na zimeongoza Kwa kuchana mikeka yetu ni Timu zipi hizo? Shuka kwenye comments
 
  • Like
Reactions: nyasura12