Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic yakiwa ni mazoezi yao ya mwisho hapo Tunis.
Kikosi kimeonekana kuwa na furaha na maendeleo mazuri katika mazingira ya uwanja pamoja na hali ya hewa, kufatia mchezo wa marudiano utakaopigwa leo Novemba 10, 2022 Mjini Tunis.
Leo Yanga watakutana na wapinzani wao Club africain ukiwa ndo mchezo wao wa marudiano kombe la shirikisho CAF, Baada ya Mechi ya kwanza iliyochezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa Dar Es Salaam uliomalizika kwa 0-0 bila kufungana.
Yanga leo wanaitaji sare yoyote au ushindi ili kuweza kufuzu hatua ya makundi kombe Shirikisho CAF.