Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Crypto
Cryptocurrency, Tokens and Altcoins
TOVUTI UNAZOWEZA KUUZA NA KUNUNUA CRYPTO (Sehemu ya Kwanza)
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Niaje wadau leo nawasogezea jukwaa mojawapo unaloweza kuuza na kununua Sarafu za kidijitali (Cryptocurrencies) kwa urahisi zaidi.

LOCALBITCOIN

Jukwaa hili unaweza kununua na kuuza cryptocurrency kupitia mawakala wanaopatikana humo. Sarafu unazoweza kununua kupitia mtandao huu kwa sasa ni Bitcoin. Cha msingi cha kuzingatia unapotaka kuweka oda yako ya kuuza au kununua ni chagua muuzaji au mnunuaji ambaye ameshafanya miamala mingi zaidi na pia akiwa na maoni mazuri kutoka kwa watu aliofanya nao biashara. Ili uweze kuruhusiwa na kuongezewa kiwango cha kuuza au kununua cryptocurrency kupitia jukwaa hili inabidi uthibitishe akaunti yako na mahali unapoishi kwa kutumia kitambulisho chochote kilichotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama Kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au Pasi ya Kusafiria. Na upande wa kuthibitisha mahali unapoishi unaweza tumia kumbukumbu za mialamala yako ya kibenk (Bank Statement).

Kwa swali lolote ulilonalo au changamoto yoyote unaweza uliza chini kwenye comments.

[QUOTE="JimNicklaus, post: 13, member: 5"] Niaje wadau leo nawasogezea jukwaa mojawapo unaloweza kuuza na kununua Sarafu za kidijitali (Cryptocurrencies) kwa urahisi zaidi. [B]LOCALBITCOIN[/B] Jukwaa hili unaweza kununua na kuuza cryptocurrency kupitia mawakala wanaopatikana humo. Sarafu unazoweza kununua kupitia mtandao huu kwa sasa ni Bitcoin. Cha msingi cha kuzingatia unapotaka kuweka oda yako ya kuuza au kununua ni chagua muuzaji au mnunuaji ambaye ameshafanya miamala mingi zaidi na pia akiwa na maoni mazuri kutoka kwa watu aliofanya nao biashara. Ili uweze kuruhusiwa na kuongezewa kiwango cha kuuza au kununua cryptocurrency kupitia jukwaa hili inabidi uthibitishe akaunti yako na mahali unapoishi kwa kutumia kitambulisho chochote kilichotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama Kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au Pasi ya Kusafiria. Na upande wa kuthibitisha mahali unapoishi unaweza tumia kumbukumbu za mialamala yako ya kibenk (Bank Statement). Kwa swali lolote ulilonalo au changamoto yoyote unaweza uliza chini kwenye comments. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Crypto
Cryptocurrency, Tokens and Altcoins
TOVUTI UNAZOWEZA KUUZA NA KUNUNUA CRYPTO (Sehemu ya Kwanza)
Top
Bottom