Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu.

Mo ni Mfadhili,Mmiliki(Mwanahisa by 49%), Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na Mwanachama waSimba S.C lakini si mdhamini mkuu.Anachokifanya kupitia nafasi zake hizi ni kujitengenezea fursa za kimasoko bila mikataba maalum isiyokuwa na terms wala ukomo utakaoongeza dau la udhamini kila mwaka au mkataba utakapoisha.Hii ndio inaitwa MONOPOLY SYSTEM.

Kampuni za Mo ni different entities na zinahitaji makubaliano ya kimkataba kufanya dili yeyote na Simba Sc. Mkataba wa udhamini wa Kampuni za kibiashara za Mo ni wa gharama ndogo sana kulinganisha na Airtime ya matangazo wanayopewa na Simba kwa kampuni zake. Huu si unazi bali mnapaswa kukaa naye mezani na kumwambia ukweli kwa faida yenu hapo baadaye ili mnufaike kibiashara, si kweli kama yeye anapata hasara. Marketing power ya Klabu ni kubwa sana kuliko inavyoaminishwa.
 
  • Like
Reactions: zakia ramadhani

zakia ramadhani

Mpiga Chabo
Jun 9, 2024
2
0
0
Hakuna kiongozi anaeweza kukaa mezani na mo kumwambia ukweli mana viongozi ni wanafki wakikubaliana jambo kuna wanaozunguka wenzao nakwenda kwa mo kumwambia kinachoendelea hivo utajikuta unaonekana mbaya peke yako
 

@yenzu

Mpiga Chabo
Jun 10, 2024
2
0
0
pengine wote viongozi wa simba wamekaa kiupigaji tuu,kama zile bil 5 ndo walituletea Fredy,Jobe kwa Fredy sawa ila kwa jobe bado na tulipo sasa ivi ni hatari kwani shirikisho ya club bingwa wapo vigogo wote
 

De hexane jr

Mgeni
Jun 10, 2024
4
1
5
Hakika sisi kama maahabiki tunabaki njia panda hatijui nani mkweli na nani anatudanganya
Kikubwa waweke mambo hadharani tumjue mbaya ni nani anaye tuchafuria BRAND yetu ya simba
#Tunapitiamengihukumtaaninivilehawajuitu
 
  • Like
Reactions: @yenzu