Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?

Ahmed

Mgeni
Aug 20, 2024
6
1
5
Mambo vipi mwana Kijiweni.. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa wadau wa soka ambao kwao kwenda kutazama soka katika viwanja kama hivi huwa ni kawaida sana na mara nyingi huwa hata unaweza kuwa ushawahi kucheza katika viwanja hivi kama ni huwa unacheza mpira

Tuambie ni Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo
 
Ahmed

Mgeni
Aug 20, 2024
6
1
5
Mambo vipi mwana Kijiweni.. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa wadau wa soka ambao kwao kwenda kutazama soka katika viwanja kama hivi huwa ni kawaida sana na mara nyingi huwa hata unaweza kuwa ushawahi kucheza katika viwanja hivi kama ni huwa unacheza mpira

Tuambie ni Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?
View attachment 1559
Kuna mda wachezaji wakitoka Sabu (nje) wanaenda kuw washangiliaji na wengne wanakua makocha wssaidizi
 
Enck

Mpiga Chabo
Sep 18, 2024
2
0
0
Jamaa waliitwa macapten wa tim mbil kuchagua upand wakuanz kuchez capten wa tim nyingin alibeba chura.kweny mkon akamficha na chezi alipo chagua goli akamwachia huyo chura akawa anaenda kwenye goli la wapinzani akaluka mara tatu ndipo capten mwingine akamwona akamuua lakin pamoja na kumuua wakala chuma.tatu kama chura alivyoo luka
 
Patinho

Mpiga Chabo
Sep 19, 2024
1
0
0
Mambo vipi mwana Kijiweni.. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa wadau wa soka ambao kwao kwenda kutazama soka katika viwanja kama hivi huwa ni kawaida sana na mara nyingi huwa hata unaweza kuwa ushawahi kucheza katika viwanja hivi kama ni huwa unacheza mpira

Tuambie ni Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?
View attachment 1559
Refa alichezesha mpira na panga lakini bado tulimpiga🙌🏽
 
Beatrice kaale

Mpiga Chabo
Sep 19, 2024
1
0
0
Daah? Mpira wa mtaani rahaa sanaaa nipo mtaani kwetu ligi ya ccm imeanza kwy finally wachezaji wa team mpzani walikuja wakitembea kinyume nyume wasianglie pembeni wao mbele too paka kwenye uwanjaa wageuke😂

Na kombe walishnda wao sasa uwanze ngumi kwy ulingoo