Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Team imeshind ila mngetaka mngeshinda mengi mno, yaan kipindi cha pili mkaja na approach ya kujikinda, unalinda kagoal kamoja mbele ya Viper anayepigwa kama ngoma na team nyingin. Jee mna uhakika wa kumfunga horoya?? Maan leo kapigwa kwao

Baada ya ya kuangalia mpira kwa dk 94 kwa uwezo wangu mdogo nimeona tuna mapungufu upande wa mfumo wetu bado wachezaj wanacheza kama sio timu moja back pass zinakuwa nyingi wakati forward line zinasababishwa kushuka chini sijui kama mfumo wetu unaweza kuendelea kutupa ushindi wa magori

Timu haina muunganiko katika final third upo ndan ya box punguza presha score chance ya kwanza aliyoipata Sakho akashindwa kuitumia ilimtoa mchezoni pili Chama atokee kati kati kama namba 10 na sio pembeni

Kipindi cha pili tumekata upepo tatizo ni Nini?? Maana hata Inonga Bacca alikuwa anawafokea wachezaji hawapandi mbele......Tumeshinda ila kipindi cha pili pumzi imekata na wachezaji walikuwa kama wanauogopa mpira.....Sasa sijajua ni fitness au ni nini!!!

Na hatuwezi kufika mbali nakwambia timu ina wachezaji watatu tu tegemezi FITNESS coach ni muongo huyo wachezaji pumzi zinakata, performance mbovu lazima tuwekane wazi wana Simba yaani tumeshinda ila raha hamna


Tunapoelekea huko mbele CAF CHAMPIONS LEAGUE itakua ngumu saana saana

1678255616168.png
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Vipers hawakutaka wenyewe kushinda hata draw hawakuitaka

Simba anamwendelezo mbovu anacheza mpira mbovu sio Simba Ile ya awali hii ikivuka hatua hii kwa mpira huu tunaenda kufedheka tu.

Huwezi mlaumu mchezaji yeyote wooote wamecheza hovyo kabisa angalau hata Onyango na Manura walionyesha kuwa hai..

Point tatu sawa Ila mpira mbovu kabisa.
 

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Timu inajikongoja lkn inasogea!! Timu bado ina kasoro nyingi. Ari ya kupambana hakuna Kwa wachezaji, Mashabiki presha muda wote! Ambizaneni timu ibadilike!!
 

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Makocha wengine walikuwa wakija wanakuta timu iko hovyo wanashindwa kuiimprove lakini huyu kaja kakuta timu iko vizuri kaifanya iwe hovyo... Wameshinda lakini itakuwa muujiza kuwafunga Horoya kwa kucheza hivi..
 

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Bdo u serious hamna magoli yawazi kabsa tunakosa pass hazina uhai kabsa zinapotezwa ovyo ovyo kwanamna hii wajiandae na mzuka mwingine uko Casablanca
 

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Huku mashabiki tumebana kend.... Hongera kwa ushind lakn tutaliaibisha taifa huko mbele kama viungo wa timu hawawezi kuiunganisha timu ipasavyo kulingana na majukumu yao inatia huzuni
 

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Hii ni ile unapeleka mwanamke kutambulisha kwenu wazaz wanasema " kikubwa mmpendana " hapo ujue mwanamke wako mbaya bro😂
Na Simba wanasema kikubwa point tatu