Team imeshind ila mngetaka mngeshinda mengi mno, yaan kipindi cha pili mkaja na approach ya kujikinda, unalinda kagoal kamoja mbele ya Viper anayepigwa kama ngoma na team nyingin. Jee mna uhakika wa kumfunga horoya?? Maan leo kapigwa kwao
Baada ya ya kuangalia mpira kwa dk 94 kwa uwezo wangu mdogo nimeona tuna mapungufu upande wa mfumo wetu bado wachezaj wanacheza kama sio timu moja back pass zinakuwa nyingi wakati forward line zinasababishwa kushuka chini sijui kama mfumo wetu unaweza kuendelea kutupa ushindi wa magori
Timu haina muunganiko katika final third upo ndan ya box punguza presha score chance ya kwanza aliyoipata Sakho akashindwa kuitumia ilimtoa mchezoni pili Chama atokee kati kati kama namba 10 na sio pembeni
Kipindi cha pili tumekata upepo tatizo ni Nini?? Maana hata Inonga Bacca alikuwa anawafokea wachezaji hawapandi mbele......Tumeshinda ila kipindi cha pili pumzi imekata na wachezaji walikuwa kama wanauogopa mpira.....Sasa sijajua ni fitness au ni nini!!!
Na hatuwezi kufika mbali nakwambia timu ina wachezaji watatu tu tegemezi FITNESS coach ni muongo huyo wachezaji pumzi zinakata, performance mbovu lazima tuwekane wazi wana Simba yaani tumeshinda ila raha hamna
Tunapoelekea huko mbele CAF CHAMPIONS LEAGUE itakua ngumu saana saana