Reply to thread

Hapo ni kwenye beting hakuna kwingine yaani mtu anakuambia Kuna mkeka unauzwa ni sure odds alafu sasa odds ni 200 mpaka 330 hivi ๐Ÿ˜‚ aise alafu mtu anakuonesha na history kabisa kumbe hile ni editing


Kwani 1 + 1 = ni ngapi?