Tusifie uku aisee timu yetu 😄😄

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Nenuz in benzema old model
Sasa uyu bwege...clear chances.....kama vs city...nafas zils benzema old version atakosa mbili moja ataweka....

Mchiz nunu cjui nunez anaweza ila...cjui gundu gan limemkuta...nakumbuka ucl vs liverpool ye yupo benfica alifunga magoli magumu mno..
 

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Nenuz in benzema old model
Hahaaa match experience ni tofauti na uwapo mazoezini...unaeza ona mchiz...zoezini anazungusha fresh....ila mechi bhana oh hoo

Nyingine kujiamini tu mzee...
Mali inakuja mtu anakua hana uhakika...ajiachiii ...mazoea au hofu ya kuogopa kuharibu mtu anaharibu...

Wengine ndio walivyo tu😂
Sometimes yes sometimes no...
Kupwa kujaa...