ubashili wa mikeka

China

Mpiga Chabo
Sep 11, 2024
1
0
0
KARIBU KWENYE KIJIWE CHA U BASHIRI BUREEE HAPA TUNATOA
MECHI AMBAZO ZITA KUWA ZINAPIGWA KWA SIKU HUSIKA ZIKIWA TAYARI ZIMECHAMBULIWA KWA KIWANGO CHA HALI YA JUU ZAIDI.

FB_IMG_17232710535458135.jpg
 

Saidy

Mgeni
Jun 5, 2024
60
15
5
Hakika ubashiri wa mikeka unahitaji uvumilivu na uwe mwenye hisia za kijasiri.. vinginevyo unaweza kujikuta unapata uchizi au matatizo ya akili kulingana na kile unacho kipoteza, maana baada ya kuamini mkeka ulio utengeneza unaweka pesa nyingi alafu mwisho wa siku unakuta mechi moja ndio ilikupoteza pesa ☹️... Maana halisi ya mchezo huu kukatazwa kwa walio chini ya miaka 18 wasiufate nimeanza kugundua walicho maanisha 🗣️