Hakika ubashiri wa mikeka unahitaji uvumilivu na uwe mwenye hisia za kijasiri.. vinginevyo unaweza kujikuta unapata uchizi au matatizo ya akili kulingana na kile unacho kipoteza, maana baada ya kuamini mkeka ulio utengeneza unaweka pesa nyingi alafu mwisho wa siku unakuta mechi moja ndio ilikupoteza pesa

... Maana halisi ya mchezo huu kukatazwa kwa walio chini ya miaka 18 wasiufate nimeanza kugundua walicho maanisha
