UEFA Europa League

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Matokeo ya 16 bora mechi za kwanza za mashindano ya europa league zilizochezwa jana usiku.
Image
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
FULL TIME:
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น
Napoli 2-4 Barcelona
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
(3-5 agg)
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ
Rangers 2-2 Dortmund
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
(6-4 agg)
Borussia Dortmund
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
wametolewa kwenye michuano ya UEFA Europa League
#UEL
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1, anacheza spoti na nyasi
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Ratiba ya mechi za leo za Europa League
20:45 Crvena Zvezda
๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ
vs. Rangers
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ
( 0-3)
20:45 Barcelona
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
vs Galatasaray
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท
( 0-0)
20:45 Leverkusen
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
vs. Atalanta
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น
(2-3)
20:45 Monaco
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท
vs. Braga
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น
(0-2)
23:00 Frankfurt
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
vs. Betis
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
(2-1)
23:00 Lyon
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท
vs. Porto
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น
(1-0)
23:00 West Ham
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
vs. Sevilla
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
(0-1)
 

mhariri

Mpiga Chabo
Dec 17, 2021
203
0
0
Timu ya Taifa ya Brazil
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท
imepanga kumuajiri Pep Guardiola
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
kama kocha wao mkuu mara baada ya michuano ya Kombe la Dunia 2022

277800511_5247428851983689_3127082572337445588_n.jpg
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

NI RANGERS NA EINTRACHT FRANKFURT FAINALI EUROPA LEAGUE 2022​


TIMU ya Rangers ya Scotland imefanikiwa kwenda Fainali ya UEFA Europa Leagu baada ya ushindi wa 3-1 usiku wa Alhamisi Uwanja wa Ibrox Stadium Jijini Glasgow.
Mabao ya Rangers yamefungwa na James Tavernier dakika ya 18, Glen Adjei Kamara dakika ya 24 na John Lundstram dakika ya 81, wakati bao pekee la RB Leipzig limefungwa na Christopher Nkunku dakika ya 70.
Rangers wanakwenda Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia kufungwa 1-0 kwenye mechi ya kwanza na sasa watamenyana na Eintracht Frankfurt ya Ujerumani katika Fainali itakayopigwa Mei 18 Uwanja wa Ramรณn Sรกnchez Pizjuรกn Jijini Sevilla nchini Hispania.
Eintracht Frankfurt iliichapa West Ham United 1-0 bao pekee la mshambuliaji Mcolombia, Rafael Santos Borrรฉ Maury dakika ya 26 Uwanja wa Deutsche Bank Park Jijini Frankfurt am Main na kwenda Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-1 kufuatia kushinda 2-1 kwenye mechi ya kwanza London wiki iliyopita.