Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Real Estate
Ujasiriamali katika Real Estate & Ujenzi Majumba
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Katika dunia ya sasa ya Teknolojia, ubunifu wa soko ni jambo LA msingi sana.

Sekta ya Real Estate ni hub au roho katika maisha ya biashara na makazi: kila aina ya biashara inategemea kwanza makao(ofisi), iwe ni kiwanda, iwe ni Biashara ya mazao, iwe ni duka, na haishangazi hata mwekezaji anapofikiria kuwekeza katika Biashara yoyote ile, mdau wa kwanza kufikiriwa na kupewa kipa-umbele ni mmiliki au mwekezaji katika sekta ya makazi (Real Estate Owner).

Sekta ya makazi ndio inayowapa kiburi mataifa madogo kuonekana kuwa ni mataifa makubwa yenye nguvu ya kifidha na kiteknolojia duniani na kusimama kifua mbele hata mbele ya mataifa makubwa the Super Power. Tuchukue mfano mdogo wa Taifa la Dubai (Milki Ya Dubai) na ISRAEL. Tutachambua kwa kina ufanisi wa mataifa haya mawili katika nyuzi (threads) zitakazofuata.

Lakini leo tugusie kidogo umuhimu wa utambulisho (Logo) kwa wafanyabiashara wa Real Estate wanaoanza (beginners).

Hata kabla ya kuendelea, ni ukweli usio shaka yoyote, Biashara ya Real Estate nayo inafanyika kwa asilimia zaidi ya 80% kupitia mitandaoni (online) kama njia kubwa zaidi ya kutafuta au kuwakutanisha wateja. Ndio kusema, uhalisia, usahihi, uaminifu(customer confidence) hujengwa kwa asilimia kubwa kwa namna unavyojitambulisha kwenye soko la mtandaoni kupitia Logo au Bango zuri litakalokufanya usimame mbele ya dealers wengine...

@coolarts_studio ni watengenezaji wa logo na mabango bora ya Real Estate yatakayokutangaza katika soko la ushindani.

Napatikana kupitia Instagram @coolarts_studio au simu ya kiganjani 0616322673.

[QUOTE="Moudy Jr., post: 4286, member: 2151"] Katika dunia ya sasa ya Teknolojia, ubunifu wa soko ni jambo LA msingi sana. Sekta ya Real Estate ni hub au roho katika maisha ya biashara na makazi: kila aina ya biashara inategemea kwanza makao(ofisi), iwe ni kiwanda, iwe ni Biashara ya mazao, iwe ni duka, na haishangazi hata mwekezaji anapofikiria kuwekeza katika Biashara yoyote ile, mdau wa kwanza kufikiriwa na kupewa kipa-umbele ni mmiliki au mwekezaji katika sekta ya makazi (Real Estate Owner). Sekta ya makazi ndio inayowapa kiburi mataifa madogo kuonekana kuwa ni mataifa makubwa yenye nguvu ya kifidha na kiteknolojia duniani na kusimama kifua mbele hata mbele ya mataifa makubwa the Super Power💪💪. Tuchukue mfano mdogo wa Taifa la Dubai (Milki Ya Dubai) na ISRAEL. Tutachambua kwa kina ufanisi wa mataifa haya mawili katika nyuzi (threads🧵) zitakazofuata. Lakini leo tugusie kidogo umuhimu wa utambulisho (Logo) kwa wafanyabiashara wa Real Estate wanaoanza (beginners). Hata kabla ya kuendelea, ni ukweli usio shaka yoyote, Biashara ya Real Estate nayo inafanyika kwa asilimia zaidi ya 80% kupitia mitandaoni (online) kama njia kubwa zaidi ya kutafuta au kuwakutanisha wateja. Ndio kusema, uhalisia, usahihi, uaminifu(customer confidence) hujengwa kwa asilimia kubwa kwa namna unavyojitambulisha kwenye soko la mtandaoni kupitia Logo au Bango zuri litakalokufanya usimame mbele ya dealers wengine... @coolarts_studio ni watengenezaji wa logo na mabango bora ya Real Estate yatakayokutangaza katika soko la ushindani. Napatikana kupitia Instagram @coolarts_studio au simu ya kiganjani🤳 0616322673. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Real Estate
Ujasiriamali katika Real Estate & Ujenzi Majumba
Top
Bottom