Kama unafatilia mech ya Madrid
Unatamani Siku timu yako ifikie uchezaji huo raha sana
Jamaa wanaelewana sana na wanashambulia dah burudani
Wametengeneza attack 50+ , hata kama Timu ikicheza hivi alaf isipopata matokeo kama shabiki unakuwa huna deni nao unaridhika kabisa.
Huyu Rodrygo kucheza behind a striker mzuri sana dogo mzuri anaachia sana Vini alikua anapiga hattrick ila dah sijui alikumwamba na nini chance nzuri hapati matokeo
Oongezeko la Camavinga limefanya mabadiliko angalau timu imecheza sana hata mpira wanaweza kaa nao muda mwingi sana!
Benzema bado hajatulia sijui ana injury au anaogopa kuumia tena, amekua anapiga vipass hivi changamoto...Nacho angekua na control nzuri angekua anasaidia sana kupanda mapema mpaka aweke ball kwenye sehemu nyeti ipoe ndio atoe pande.
Real Madrid 0-0 Real Sociedad