Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
484
641
125
Mambo vipi? Wikiendi si ndio hii hapa na Bila shaka Mnaweza kuwa na mada mbalimbali ambazo mmekua mkijadiliana Kijiweni

Naomba kufahamu hivi "Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?"
 
  • Like
Reactions: Farhan

Imma MK

Mgeni
May 2, 2024
16
5
5
Mambo vipi? Wikiendi si ndio hii hapa na Bila shaka Mnaweza kuwa na mada mbalimbali ambazo mmekua mkijadiliana Kijiweni

Naomba kufahamu hivi "Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?"
MIMI NINGEITUPILIA MBALI OFFSIDE
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Cityhunter

Mgeni
May 8, 2024
2
1
5
Mambo vipi? Wikiendi si ndio hii hapa na Bila shaka Mnaweza kuwa na mada mbalimbali ambazo mmekua mkijadiliana Kijiweni

Naomba kufahamu hivi "Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?"
Yani Mimi Ile Sheria ya Gori la ugenini inaniboa sana aiseee mi hiyo ningeitoa
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Mhe.Laiz@

Mgeni
May 2, 2024
5
3
5
Ball to hand and hand to ball
Hii irekebishwe ili utata utoke
Iwe kushika ni kushika tu no matter mpira umefata mkono au mkono unefata mpira iwe 1 tu ukishika umeshika
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Mhe.Laiz@

Mgeni
May 2, 2024
5
3
5
pia offside Ina changamoto sanaaa Yan unakuta mipira haupo offside ila refa anasema ni offside basi na hii irekebishwe kidogo offside ni mpaka mtu aguse mpira
 
  • Like
Reactions: Kijiweni